- Dar es Salaam, Tanzania
Description:
Muhtasari wa Kazi Tunatafuta Makarani wawili wa Uendeshaji (Operations Clerks) wenye uzoefu wa kuratibu shughuli za kila siku za magari na madereva. Mwombaji anatakiwa kuwa na uwezo wa kusimamia shughuli za usafirishaji, kuwasiliana vizuri na...